Kipeuo cha pili
Mandhari
Katika hisabati, kipeuo cha pili (kwa Kiingereza: square root) cha namba x ni namba y inayolingana y2=x.
Kwa mfano, 2 ni kipeuo cha pili cha 4 kwa hivyo 22=4
3 ni kipeuo cha pili cha 9 kwa hivyo 32 = 9
Kwa programu ya takwimu R
[hariri | hariri chanzo]Ili mtafute kipeo cha pili kwa lugha ya programu ya takwimu R mandike :
> sqrt(25)
[1] 5
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
- Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.