Kipendau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kipendau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapendau kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kipendau imehesabiwa kuwa watu 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipendau iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipendau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.