Kipele-Ata
Mandhari
Kipele-Ata ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapele na Waata. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kipele-Ata imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipele-Ata iko katika kundi la “West New Britain”.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kipele-Ata kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipele-Ata
- lugha ya Kipele-Ata katika Glottolog
- lugha ya Kipele-Ata kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipele-Ata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |