Kipekal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipekal ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapekal kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipekal imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipekal iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipekal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.