Kipazasauti cha sikio
Mandhari
Kipazasauti cha sikio au spika ya sikio (kwa Kiingereza: headphones) ni kifaa kinachotumika kwa kutoa sauti masikioni.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Katikiro, E. G. (2018). Tathmini ya maana katika maneno ambatani ya Kiswahili. Mulika Journal, 36(1)