Kipari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipäri (au Kilokoro) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wapari. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kipäri imehesabiwa kuwa watu 28,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipäri iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.