Kipao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipao ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapao. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipao imehesabiwa kuwa watu 53,000. Uainishaji wa lugha ya Kipao kwa ndani zaidi haujulikani. Wengine husema kwamba Wapao huongea Kibagheli.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.