Kipanytyima
Mandhari
Kipanytyima (pia Kibanyjima) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wapanytyima katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kipanytyima 98 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipanytyima kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kipanytyima kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipanytyima
- lugha ya Kipanytyima katika Glottolog
- lugha ya Kipanytyima katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipanytyima kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |