Nenda kwa yaliyomo

Kipaniya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipaniya ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapaniya. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipaniya imehesabiwa kuwa watu 94,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaniya iko katika kundi la Kimalayalam.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipaniya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.