Kipande (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kipande ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wapande. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kipande imehesabiwa kuwa watu 9700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipande iko katika kundi la C20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipande (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.