Kipanchpargania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipanchpargania ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapanchpargania. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipanchpargania imehesabiwa kuwa watu 194,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipanchpargania iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipanchpargania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.