Kipanasuan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kipanasuan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapanasuan kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kipanasuan imehesabiwa kuwa watu 800 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipanasuan iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipanasuan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.