Nenda kwa yaliyomo

Kipaliyan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipaliyan ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapaliyan. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipaliyan imehesabiwa kuwa watu 9520. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaliyan iko katika kundi la Kimalayalam.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipaliyan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.