Nenda kwa yaliyomo

Kipakanha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipakanha kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapakanha katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kipakanha, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipakanha kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipakanha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.