Nenda kwa yaliyomo

Kipahari-Mahasu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipahari ya Mahasu ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapahari. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kipahari ya Mahasu imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipahari ya Mahasu iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipahari-Mahasu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.