Kipagibete (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipagibete ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wapagibete. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipagibete imehesabiwa kuwa watu 28,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipagibete iko katika kundi la C50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipagibete (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.