Kipacoh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipacoh ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wapacoh. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kipacoh nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 16,000. Pia kuna wasemaji 16,500 nchini Laos (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipacoh iko katika kundi la Kikatuiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipacoh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.