Kioroko
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kioroko (lugha))
Kioroko ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waoroko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kioroko ilihesabiwa kuwa watu 106,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kioroko iko katika kundi la A10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Lugha ya Kioroko kwenye Multitree
- Makala za OLAC kuhusu Kioroko
- Lugha ya Kioroko katika Glottolog
- Tovuti yenye kuhusu Kioroko
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kioroko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |