Nenda kwa yaliyomo

Kioroko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kioroko ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waoroko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kioroko ilihesabiwa kuwa watu 106,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kioroko iko katika kundi la A10.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioroko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.