Kiopuuo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiopuuo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia na Sudan Kusini inayozungumzwa na Waopuuo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiopuuo nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 1750. Idadi ya wasemaji nchini Sudan Kusini haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiopuuo iko katika kundi la Kikomuz.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiopuuo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.