Nenda kwa yaliyomo

Kione cha Inebu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kione ya Inebu ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waone. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kione ya Inebu imehesabiwa kuwa watu 1300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kione ya Inebu iko katika kundi la Kiwapei-Magharibi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kione cha Inebu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.