Kimbama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiombamba)

Kimbama (pia Kiombamba) ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Gabon inayozungumzwa na Wambama. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbama nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 15,100. Pia kuna wasemaji zaidi ya 9000 nchini Gabon. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbama iko katika kundi la B60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.