Kiolkol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiolkol ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waolkol katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiolkol watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiolkol kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiolkol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.