Kinzema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinzema ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wanzema. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kinzema nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 262,000. Pia kuna wasemaji 66,700 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinzema iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinzema kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.