Kinzanyi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kinzanyi (lugha))
Kinzanyi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wanzanyi. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinzanyi nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 77,000. Pia kuna wasemaji 9000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinzanyi iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinzanyi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinzanyi
- lugha ya Kinzanyi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nja
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinzanyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |