Kinyulnyul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maeneo ya lugha za asili karibu na mji wa Derby, pamoja na Kinyulnyul (rangi ya waridi)

Kinyulnyul ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wanyulnyul katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji wa Kinyulnyul ambao wamebaki kuzungumza lugha. Msemaji wa mwisho alifariki mwaka 1999, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinyulnyul kiko katika kundi la Kinyulnyulan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyulnyul kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.