Kinyore
Mandhari
Kinyore (au Olunyole) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wanyore, kabila moja la Waluyia. Ni lugha tofauti na Kinyole nchini Uganda. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kinyore imehesabiwa kuwa watu 311,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyore iko katika kundi la E30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinyore kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyore
- lugha ya Kinyore katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nyd
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |