Kinyeu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kinyeu ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai inayozungumzwa na Wanyeu. Idadi ya wasemaji wa Kinyeu imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyeu iko katika kundi la Kikatuiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyeu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.