Kinyangumarta
Mandhari
Kinyangumarta ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanyangumarta katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kinyangumarta 310. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyangumarta kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinyangumarta kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyangumarta
- lugha ya Kinyangumarta katika Glottolog
- lugha ya Kinyangumarta katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyangumarta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |