Nenda kwa yaliyomo

Kinyaneka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kinyaneka (lugha))

Kinyaneka ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wanyaneka. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kinyaneka imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyaneka iko katika kundi la R10.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyaneka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.