Nenda kwa yaliyomo

Kinyamwanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyamwanga (pia huitwa Kimwanga au Kinamwanga) ni lugha ya Kibantu nchini Zambia na Tanzania inayozungumzwa na Wanyamwanga. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kinyamwanga nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 140,000. Pia kuna wasemaji 87,000 nchini Tanzania (1987). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyamwanga iko katika kundi la M20.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Busse, Joseph. 1940/41. Lautlehre des Inamwanga. Zeitschrift für Eingeborenen-Sprachen, 31 (1), uk.21-50.
  • Bickmore, Lee. 2000. Downstep and fusion in Namwanga. Phonology, 17 (3).
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyamwanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.