Kinyamusa-Molo
Mandhari
Kinyamusa-Molo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wanyamusa na Wamolo, makabila mawili wanaoongea lugha moja. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kimorokodo. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kinyamusa-Molo imehesabiwa kuwa watu 1630. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyamusa-Molo iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinyamusa-Molo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyamusa-Molo
- lugha ya Kinyamusa-Molo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nwm
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyamusa-Molo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |