Kinyabemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyabemba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wanyabemba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinyabemba imehesabiwa kuwa watu 296,000. Kinyabemba hakijaainishwa kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyabemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.