Kinungali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinungali kilikuwa lugha ya Kimirndi nchini Australia iliyozungumzwa na Wanungali katika jimbo la Northern Territory. Hakuna Wanungali waliobaki kuzungumza lugha ya Kinungali, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinungali kiko katika kundi la Kiyirram.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinungali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.