Kinukuoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinukuoro ni lugha ya Kiaustronesia nchini Mikronesia inayozungumzwa na Wanukuoro. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinukuoro imehesabiwa kuwa watu 860. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinukuoro iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinukuoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.