Kinugunu (Australia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinugunu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanugunu katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kinugunu imetoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinugunu kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi. Isichanganywe na lugha ya Kinugunu cha Kamerun.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinugunu (Australia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.