Kinubaca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinubaca ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanubaca. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinubaca imehesabiwa kuwa watu 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinubaca iko katika kundi la A60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinubaca kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.