Kinuaulu-Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinuaulu-Kaskazini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanuaulu kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kinuaulu-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinuaulu-Kaskazini iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinuaulu-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.