Kinsenga
Mandhari
Kinsenga ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wansenga. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinsenga nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 544,000. Pia kuna wasemaji nchini Msumbiji na Zimbabwe. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinsenga iko katika kundi la N40.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinsenga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinsenga
- lugha ya Kinsenga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nse
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinsenga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |