Kinora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinora ilikuwa lugha ya Kitai-Kadai nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wanora. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kinora tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Uainishaji wa lugha ya Kinora kwa ndani zaidi haujulikani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinora kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.