Kinkutu (lugha)
Mandhari
Kinkutu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wankutu. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kinkutu imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinkutu iko katika kundi la C80.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinkutu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinkutu
- lugha ya Kinkutu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nkw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinkutu (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |