Kinkumbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kinkumbi (lugha))

Kinkumbi (au Kinkhumbi) ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wankumbi. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kinkumbi imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinkumbi iko katika kundi la R10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinkumbi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.