Kinjalgulgule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinjalgulgule (au Kinyolge) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wanjalgulgule. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kinjalgulgule imehesabiwa kuwa watu 900 tu. Kwa hiyo inawezekana lugha ya Kinjalgulgule imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinjalgulgule iko katika kundi la Kidaju.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinjalgulgule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.