Kinilamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kinilamba (au Kinyiramba, pamoja na lahaja ya Kiiambi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanilamba. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinilamba imehesabiwa kuwa watu 455,000, ambao 50,000 ni Waiambi. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinilamba iko katika kundi la F30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Dempwolff, Otto. 1914/15. Beiträge zur Kenntnis der Sprachen in Deutsch-Ostafrika. Teil 5: Ilamba. Zeitschrift für Kolonialsprachen, 5, uk.227-253.
  • Yukawa, Yasutoshi. 1989. A classified vocabulary of the Nilamba language. (Bantu vocabulary series, no 5.) Tokyo: Institute for the Study of Languages and Cultures of Asia and Africa (ILCAA), Tokyo University of Foreign Studies.
Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinilamba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.