Kinias

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinias ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanias kwenye visiwa vya Batu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinias imehesabiwa kuwa watu 770,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinias iko katika kundi la Kisumatra.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinias kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.