Kingul (lugha)
Mandhari
Kingul ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangul. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kingul imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingul iko katika kundi la B60.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingul kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingul Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingul katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nlo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingul (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |