Kingongo (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kingongo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangongo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kingongo imehesabiwa kuwa watu 4080. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingongo iko katika kundi la H30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingongo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.