Kingindo
Mandhari
Kingindo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wangindo. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kingindo imehesabiwa kuwa watu 220,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingindo iko katika kundi la P10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingindo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingingdo Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingindo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nnq
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kingindo)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Cross-Upcott, A.R.W. 1956. The social structure of the KiNgindo-speaking peoples. PhD thesis. University of Cape Town. Kurasa 564.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingindo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |