Kinghwele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kinghwele (au Kikwere) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanghwele. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kinghwele imehesabiwa kuwa watu 98,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinghwele iko katika kundi la G30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinghwele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.