Kingbinda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingbinda ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangbinda. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kingbinda imehesabiwa kuwa watu 4200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingbinda iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingbinda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.